OPTIMALS WHITE FOR OILY SKIN.
✅Hii set ni.nzuri sana inamfaa mtu mwenye ngozi ya mafuta....ila isiyo na chunusi.Watu wenye ngozi ya mafuta ila jana chunusi....hii set inamfaa.
✅Inasaidia kuipa mng'aro ngozi yako...(utaglow)...utapendeza huku ukibaki na rangi yako ya asili...ila ngozi yako itakua na ung'avu zaidi.
✅Wale wenye ngozi za mafuta ...ngoz haina mvuto....tumia optimals white kupendezesha ngozi yako.
✅Day cream ina spf (sun Protecting factor)....kuilinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua,computer,sim...kuna mionz ambayo si salama kwa ngozi...hii spf itakulinda.
✅Kwa matokeo mazuri tumia set nzima...
Kumbuka kutumia kila siku...jua bidhaa zetu ni asilia...hazifanyi.kazi speed kama zenye kemikali...tumia kila siku itaona matokeo...wengine huchukua wiki 1 tu kuanza kuona utofauti...mostly ndan ya wiki 2 utaipenda ngozi yako....
Wasiliana nami kwa
Simu/Sms/Whatsapp
#0673646381 uagize ya kwako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni