Jumatano, 15 Februari 2017

FURSA YA KUONGEZA KIPATO ENDELEVU KILA MWEZI.

Fursa ya kujiongezea kipato kwa mfumo mpya wa kibiashara usio hitaji mtaji mkubwa ili uanze, ama ukataji wa leseni, ama kupanga chumba cha biashara......
Mfumo huu umekuwa ukitumiwa zaidi katika nchi za Ulaya na America, na sasa umeanza kutumika barani Africa. Hii ni biashara Mtandao ifanywayo kwa kuingiza FAIDA na KIPATO ENDELEVU KILA MWEZI...... Nazungumzia fursa ya kujiongezea kipato kupitia vipodozi kutoka Oriflame-Sweden. Oriflame ni neno la kisweden lenye maana ya "ASILI"
Vipodizi vitolewavyo na Oriflame-Sweden vina ubora wa kimataifa na vinatumika katika nchi 65 hadi sasa.
Oriflame imebobea zaidi katika bidhaa za ngozi........huiweka ngozi katika hali nzuri wakati wote na kukufanya ung'ae mng'ao wa kujiamini. Bidhaa hizi zina matokeo mazuri na hazina madhara kwa watumiaji.
Katika jamii kubwa watu wengi hawatumii bidhaa za ngozi kwa kupata ushauri.....,. Kupitia oriflame bidhaa zote utapewa maelekezo maalumu kwa kuzingatia ngozi yako.
Utatumia kinachohitajika.....na si kwa kubahatisha.
Jinsi ya kujiunga na mfumo huu:-
Ni kujiunga uanachama kupitia aliye mwanachama kwa kulipia elfu 10 na unapata namba ya mwanachama itakayokuwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa na pia itakuwezesha kuunganisha wengine kuwa wanachama.
Ikiwa utajiunga kibiashara.....maana yake utanufaika na kupata faida kwa kumuuzia mteja wako kwa bei ya catalogue baada ya wewe kununua kwa bei ya mwanachama.
Faida ya pili utapata kipato endelevu unapounganisha wengine kuungana nawe katika mtandao huo wa biashara. Hivyo basi utakuwa ukipata mapato ya kila mwezi kwa manunuzi yafanywayo na timu yako.
Ikiwa umependezwa na mfumo huu usingoje.....kesho.... Mimi ni mwanachama Check nami kwa sms/whatsapp/ call  0673646381 @ Danny.
Tutashare mengi na kujiunga katika fursa pia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni