Jumatatu, 20 Februari 2017

OPTIMALS WHITE FOR OILY SKIN.

OPTIMALS WHITE FOR OILY SKIN.

✅Hii set ni.nzuri sana inamfaa mtu mwenye ngozi ya mafuta....ila isiyo na chunusi.Watu wenye ngozi ya mafuta ila jana chunusi....hii set inamfaa.
✅Inasaidia kuipa mng'aro ngozi yako...(utaglow)...utapendeza huku ukibaki na rangi yako ya asili...ila ngozi yako itakua na ung'avu zaidi.
✅Wale wenye ngozi za mafuta ...ngoz haina mvuto....tumia optimals white kupendezesha ngozi yako.
✅Day cream ina spf (sun Protecting factor)....kuilinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua,computer,sim...kuna mionz ambayo si salama kwa ngozi...hii spf itakulinda.
✅Kwa matokeo mazuri tumia set nzima...
Kumbuka kutumia kila siku...jua bidhaa zetu ni asilia...hazifanyi.kazi speed kama zenye kemikali...tumia kila siku itaona matokeo...wengine huchukua wiki 1 tu kuanza kuona utofauti...mostly ndan ya wiki 2 utaipenda ngozi yako....
Wasiliana nami kwa
Simu/Sms/Whatsapp
#0673646381 uagize ya kwako.

Jumamosi, 18 Februari 2017

FOOT CREAM

FOOT CREAM ...
✅Hii ni cream special kwa miguu/nyayo ina cocoa butter,vitamin b5 maalum kulainisha nyayo zako.
✅Ina special intensive care..wale wenye nyayo ngumu..,rough na hata zilizopasuka...hii ni solution.👣
✅Utaipaka mara 2 kwa siku...asubuh na usiku ukiwa unalala...utaona tofauti...nyayo zako zitakua lainiii..hata ukimkanyaga mtu bahati mbaya humkwaruzi,huumizi,huparui🙈😎
✅Inauzwa 14,000 kwa mteja
Wasiliana nami uipate ya kwako kwa:-
Call/Sms/Whatsapp 0673646381
Tuzijali nyayo zetu👣
Jipatie yako leo.

Jumatano, 15 Februari 2017

FURSA YA KUONGEZA KIPATO ENDELEVU KILA MWEZI.

Fursa ya kujiongezea kipato kwa mfumo mpya wa kibiashara usio hitaji mtaji mkubwa ili uanze, ama ukataji wa leseni, ama kupanga chumba cha biashara......
Mfumo huu umekuwa ukitumiwa zaidi katika nchi za Ulaya na America, na sasa umeanza kutumika barani Africa. Hii ni biashara Mtandao ifanywayo kwa kuingiza FAIDA na KIPATO ENDELEVU KILA MWEZI...... Nazungumzia fursa ya kujiongezea kipato kupitia vipodozi kutoka Oriflame-Sweden. Oriflame ni neno la kisweden lenye maana ya "ASILI"
Vipodizi vitolewavyo na Oriflame-Sweden vina ubora wa kimataifa na vinatumika katika nchi 65 hadi sasa.
Oriflame imebobea zaidi katika bidhaa za ngozi........huiweka ngozi katika hali nzuri wakati wote na kukufanya ung'ae mng'ao wa kujiamini. Bidhaa hizi zina matokeo mazuri na hazina madhara kwa watumiaji.
Katika jamii kubwa watu wengi hawatumii bidhaa za ngozi kwa kupata ushauri.....,. Kupitia oriflame bidhaa zote utapewa maelekezo maalumu kwa kuzingatia ngozi yako.
Utatumia kinachohitajika.....na si kwa kubahatisha.
Jinsi ya kujiunga na mfumo huu:-
Ni kujiunga uanachama kupitia aliye mwanachama kwa kulipia elfu 10 na unapata namba ya mwanachama itakayokuwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa na pia itakuwezesha kuunganisha wengine kuwa wanachama.
Ikiwa utajiunga kibiashara.....maana yake utanufaika na kupata faida kwa kumuuzia mteja wako kwa bei ya catalogue baada ya wewe kununua kwa bei ya mwanachama.
Faida ya pili utapata kipato endelevu unapounganisha wengine kuungana nawe katika mtandao huo wa biashara. Hivyo basi utakuwa ukipata mapato ya kila mwezi kwa manunuzi yafanywayo na timu yako.
Ikiwa umependezwa na mfumo huu usingoje.....kesho.... Mimi ni mwanachama Check nami kwa sms/whatsapp/ call  0673646381 @ Danny.
Tutashare mengi na kujiunga katika fursa pia.

Jumapili, 8 Januari 2017

RED PERFUME - ORIFLAME NATURAL SWEDISH COSMETICs

Bidhaa za perfume ziko nyingi za kiume na za kike pia tazama hapa http://tz.oriflame.com/fragrance
utakayoipenda wasiliana nami uipate. Kumbuka hizi bidhaa ni za kiwango cha juu (kimataifa) na hutolewa na kampuni ya swedish iitwayo *Oriflame* pekee. Toa Order/kujiunga na fursa ya kujipatia kipato cha ziada Oriflame piga/sms 0673646381.

HAPPY SKIN HYDRATING BODY LOTION ORIFLAME

Lotion yenye ubora wa hali ya juu kabisa itakayoifanya ngozi yako iwe fresh kwa wakati wote. Toa Order yako kwa Tsh 27,000. / Jiunge Oriflame sasa kwa kupiga 0673 646381 kwa maelezo zaidi.

Jumapili, 25 Desemba 2016

ORIFLAME

Bidhaa bora za vipodozi vya kila aina za Oriflame kutoka sweden sasa ziko karibu yako, Pendeza, Ingiza pesa na Ufurahie. Ungependa kunukia vyema?, kuna perfume nzuri sana za kiume na kike. Bidhaa hizi hazipatikani madukani ila tu kwa njia hii 0673 646381 au 0757 646381. Ungependa nawe ujiunge kwa kujiongezea kipato cha ziada......tuko pamoja kama utapenda wasiliana nami kwa maelekezo zaidi whatsapp kwa namba hizo hapo juu. Ingiza pesa kwa kuwauzia wengine bidhaa bora kabisa na upendeze pia kwa matumizi binafsi.

Jumamosi, 3 Desemba 2016

Dannymtalii app

Dannymtalii imekurahisishia kupata taarifa zake zote kwa wepesi zaidi kupitia app inayoweza kufanya vyema kupitia simu yako ya android, ipakue sasa kwenye link hii http://app.appsgeyser.com/dannymtalii