Wapendwa napenda kuitambulisha blog hii kwenu ambayo itakuwa inawapa habari mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Butiama. Lengo langu ni kutoa habari kwenu kwa wakati ili kila kinachohitajika kukufikia kiweze kukufikia. Natanguliza shukrani za kuungana nami.
Kaka tunashukuru kwa kuanzisha huduma hii, tunaungana nawe pamoja sana.
JibuFuta