Jumatano, 14 Mei 2014

Je, Unataka kuwa na blog kama hii ?

Dannymtalii (All Under One Roof ) tunatengeneza BLOGS zenye muonekano mzuri  na kwa bei nafuu, wasiliana na blogger Daniel Ezekiel kwa 0757 646 381.

Ijumaa, 9 Mei 2014

Kuitambulisha Blog.

Wapendwa napenda kuitambulisha blog hii kwenu ambayo itakuwa inawapa habari mbalimbali ndani  na nje ya wilaya ya Butiama. Lengo langu ni kutoa habari kwenu kwa wakati ili kila kinachohitajika kukufikia kiweze kukufikia. Natanguliza shukrani za kuungana nami.